ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 17, 2012

WATANZANIA DMV WAMUAGA BABA YAKE SARAH

 Sarah akiwa mwingi wa majonzi katika picha ya pamoja na Stanley Walden wakati wa kuaga mwili wa baba yake kulikofanyika leo Washington, DC, mazishi ni kesho baada ya misa itakayofanyika 150 S Sreet NW, Washington,, DC kuanzia Saa 3 asubuhi.
 Mdogo wa Marehemu akiwa dada ya marehemu wakiwa Funeral Home
 Mke wa Marehemu (shoto) akiwa na majura wakati walipokua Funeral home kuaga mwili wa mpendwa mumewake
 Irene na Stanley wakipata picha za hapa na pale
 Marafiki wa karibu na mama Sarah wakimfariji Mfiwa katika kipindi hiki kigumu cha kuondokea na mpendwa Mume wake
 Ndugu, jamaa na marafiki waliofika kuaga mwili wa baba yake Sarah
Marafiki wa karibu na familia wakiwa funeral home kuaga mwili
Kwa picha zaidi bofya read more


1 comment:

Anonymous said...

Pole sana Sara mwenyenzi mungu awatie nguvu.