" Ama kweli maisha magumu , Jamaa kampa dem mimba then jamaa kasusiwa mke, dem kajifungua mshikaji hana hata pesa ya poda ya mtoto.
Siku ya 1 akaleta poda kwenye gazeti, siku ya 2 pia, ya 3 dem akamuuliza: Hivi poda ya kupima unanunuliaga wapi?, Jamaa akajibu:" aah! Nachukua kwenye "pool table."
No comments:
Post a Comment