Msanii wa Filamu na Maigizo ambaye anatamba kwa lafudhi yake ya Kikenya na siku hizi akiwa anatamba katika uimbaji Ummy Wenselaus maarufu Dokii akionesha chata ya 'JK' aliyoichora shavuni wakati msanii huyu na kundi lake walipokuwa mjini Dodoma katika Mkutano wa CCM kwa ajili ya kutoa burudani.
Hapa Dokii akionesha Mtindo wake wa Nywele
Hapa akionesha hiyo neno "VIMEGHARAMIWA NDIO MAANA VINAPENDEZA"
JUU NA CHINI Dokii Kati akiwa na vijana wake ambao hutoa nae burudani
Hapa akiwa na Mheshimiwa Juma Othman Kapuya nje ya ukumbi wa Kizota kunako fanyika Mkutano wa CCM
Chanzo:Dodoma yetu


.jpg)



No comments:
Post a Comment