ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, November 13, 2012

MATOKEO YA WASHINDI DODOMA

Rais Jakaya Kikwete akipokea hati ya Kiwanja kitakachotumika kujenga, Ukumbi, Ofisi za Makao Makuu na Hotel ya hadhi ya nyota tano kutoka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya CDA,William Lukuvi. 


KUTOKA DODOMA

Habari zilizopatikana hivi punde kutoka mjini Dodoma katika mkutano mkuu wa CCM zinadai kuwa wajumbe wa NEC bara wametangazwa akiwemo January Makamba, mbunge wa jimbo la Isimani Wiliam Lukuvi, Stivin Wasira, Mwiguru, Shigela, Bernad Membe, Dr Mathayo David, Msome na Wilson Mukama,
Haya ni matokeo ambayo mtandao huu umeyanasa japo matokeo kamili 
utaendelea kuyapata zaidi endelea kuwa nasi.

Chanzo: Dodoma yetu

No comments: