ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, November 14, 2012

MITINDO NITE KUWASHA MOTO THANKSGIVING

TANZANIA'S TOP DESIGNERS -ALLY REHMTULLAH NA DIANA MAGESSA KUWASHA MOTO KATIKA MAONYESHO YA MAVAZI YA"MITINDO NITE -3" USA YANAYO FANYIKA KILA MWAKA JUMAMOSI YA THANKS GIVING WASHINGTON DC AMBAYO HUANDALIWA NA DESIGNER MAARUFU MA WINNY NA J &P ENT.MMOJA WA WARATIBU WA MAONYESHO HAYO YA MITINDO..MR DICKSON MKAMA ..a.k.a " DMK" AMETHIBITISHA KUWA MWAKA HUU WAMEJIANDAA KWA SHOW YA AINA YAKE AMBAYO MBALI NA TANZANIA  KUNA MADISIGNER KUTOKA NCHI MBALI MBALI ZA AFRICA  NA CARIBBEAN PAMOJA NA SUPER MODELS 16 KUTOKA KAMPUNI YA "IHI MODELING AGENCY",UKUMBI WA KISASA KABISA NA BURUDANI KABAMBE KUTOKA KWA MWANAMUZIKI MAHIRI WA KIKE " HAFSA KAZINJA". MAONYESHO HAYO YANALETWA KWENU NA MAKAMPUNI YA J&P ENT, DMK GLOBAL PROMOTIONS,NORTHERN ZONE ENT..NA YATARUSHWA LIVE NAVIJIMAMBO TV...MC WA USIKU HUO WA MITINDO ATAKUWASUNDAY SHOMARI KUTOKA VOICE OF AMERICA & MS KAYA !

5 comments:

Anonymous said...

Mtakosa biashara, nobody picks any of these phones to direct watu how to get the ticket?? Kama bei ni hio hio mlangoni you better say so, so that we should not bother talking to machine. Or create a paypal account and put website to buy ticket. Huu ubongo ubongo huu sijui utaisha lini. Khaaaa!

yoo said...

BEI NI HIYO HIYO MLANGONI..NA HATUUZI ADVANCE TICKETS NDO MAANA HATUJASEMA HIVYO......PIA KAMA SIMU HAZIPOKELEWI ITS BECAUSE SOME ONE IS ON ANOTHER LINE OR AWAY FROM THE PHONE..PLEASE LEAVE A VOICE MSG FOR SOME ONE TO GET BACK TO YOU..OR CALL THIS LINE "301-661-6207 "/IT'S ALWAYS AVAILABLE IF YOU TRY IT !!..THANX

Anonymous said...

ama kweli mratibu (DMK)

yoo said...

Thanx......Hope to See You...your Friends and Family...Itakuwa balaa Mwaka huu !!

Anonymous said...

Then all these information mngeweka kwenye tangazo! mnaposema call this number for more details, ni details gani??? bei mmeishaweka na mngesema no advance purchase malipo mlangoni na ya aina gani?? Cash only?? Credit Card??? Debit card?? Ili simu zenu zisiwe kama telephone house, hii kitu inajiuza thats all i was saying.