ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, November 4, 2012

RAIS KIKWETE AZINDUA RASMI TAASISI YA SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA NELSON MANDELA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuashiria uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela. Kulia ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali ambaye ndiye Mkuu wa Chuo hicho katika sherehe za uzinduzi wake rasmi Ijumaa Novemba 2, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua sanamu ya Mwalimu Julius Nyerere wakati wa uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifunua sanamu ya Rais wa zamani wa Afrika ya Kusini Mzee Nelson Mandela wakati wa uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkabidhi Hati ya Ardhi ya eneo la Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali ambaye ndiye Mkuu wa Chuo hicho katika sherehe za uzinduzi wake rasmi Ijumaa Novemba 2, 2012. Kulia ni Makamu Mkuu wa Taasisi hiyo Profesa Burton Mwamila.
kwa picha zaidi bofya read more
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wakati wa uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012. 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea zawadi toka kwa Makamu Mkuu wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela Profesa Burton Mwamila jijini Arusha. Kushoto ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali ambaye ndiye Mkuu wa Chuo hicho katika sherehe za uzinduzi wake rasmi Ijumaa Novemba 2, 2012.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe wakati wa uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012. Pamoja naye ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib Bilali ambaye ndiye Mkuu wa Chuo hicho, WAZIRI wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa, Makamu Mkuu wa Chuo hicho Profesa Burton Mwamila, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Magessa Mulugo,
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa kuangalia maeneo mbalimbali wakati wa uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya utafiti wa mitishamba toka Dkt Efrem Akilei Njau wakati wa uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipata maelezo ya utafiti wa vinasaba katika mimea wakati wa uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika picha za pamoja wakati wa uzinduzi rasmi wa Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela jijini Arusha Ijumaa Novemba 2, 2012.
(PICHA NA IKULU)

No comments: