Thursday, December 27, 2012

ASYIA KHAMSIN 53 BIRTHDAY BASH @ NYUMBANI LOUNGE

X-mas Eve ilikuwa ni siku ya kuzaliwa mbunifu wa mitindo Asyia Khamsin, birthday bash ilifanyika nyumbani lounge sambamba na kuwapa certificate of appreciation wabunifu wa mitindo wote walioshiriki onesho la khanga za kale, mwanamitimbo Asyia amefikisha miaka 53 na anaringia umri wake, because she still going strong Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

No comments: