Thursday, December 27, 2012

GARI LAWAKA MOTO


Picha juu na chini ni GARI aina ya Toyota Starlet lenye namba za usajili T 382 BUN mali ya mwanamke mmoja ambaye hakutaka kutaja jina lake, limeteketea kwa moto muda huu nje kidogo ya ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam zilizopo Ilala – Boma. Kitendo cha ajabu ni kuona vijana waliokuwa eneo hilo baada ya kusaidia kuzima moto usiendelee kuliteketeza gari hilo, walionekana wakiwa ‘busy’ kung’oa baadhi ya spea za gari hilo.
 

No comments: