Miss Universe Tanzania Winfrida Dominic akiwa New York City alik pitia kwa ajili ya kuunganisha ndege kuelekea Las Vegas, mashindano yatakako fanyika mashindano ya Miss Universe. Winfrida anaiwakilisha Tanzania baada ya kushida taji hilo nchin, mashindano yatafanyika Dec 19 huko Las Vegas. Winfrida Dominic atambambana na washiriki wengine kutoka sehemu mbali mbali duniani, tunamtakia kila la kheri mshiriki wetu aipeperushe vyema bendera ya nchi yetu. Hapa Miss akiwa maheneo ya Time Square, NYC.
Hapa Miss Universe akiwa maheneo ya Rockefeller Center, NYC akipata ukodak wa vijimambo.
Miss Universe Winfrida akiachia tabasamu mbele ya ukodak wa vijimambo ndani ya jiji la wasio lala New York City.
Ny Ebra akiwa na Miss Universe maeneo ya Time Square, NYC katika pita pita ya vijimambo weekend.
No comments:
Post a Comment