Advertisements

Wednesday, December 12, 2012

KING CLASS MAWE APEREKA SHANGWE KAMBI YA ILALA BAADA YA KUMTWANGA BONDIA WA TANGA

Juu na chini ni Bondia Said Mundi wa Tanga akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati walipokutana katika mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Class alishinda kwa point na kupeleka Shangwe katika Kambi ya Ilala 
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila Super D wa pili kushoto akiwa na furaha baada ya kumpandisha bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' ulingoni na kumtwanga Said Mundi wa Tanga 
Masabiki wa ngumi wakiwa na Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' na Kocha wake Rajabu Mhamila 'Super D
Bondia Said Mundi wa Tanga akipambana na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati walipokutana katika mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Class alishinda kwa point na kupeleka Shangwe katika Kambi ya Ilala 
Mashabiki wakimpa Ongera Bondia Ibrahimu Class
Bondia King Class Mawe akiwa na wapambe wake baada ya kumdunda said Mundi wa Tanga

No comments: