Advertisements

Friday, December 7, 2012

Mahafali ya Chuo cha Stella Maris tawi la St. August iliyopo mtwara

Juu na chini ni Wanafunzi wa Chuo cha Stella Maris Tawi la St. August, Mtwara wakipata picha ya pamoja kwenye mahafali ya chuo hicho yaliyofanyika December 5, 2012 ikiwajumuisha Frank Valance Lyimo (mtoto wa Muinjilisti Celina Lyimo) anayeishi DMV na rafiki yake Innocent
kwa picha zaidi bofya read more


No comments: