Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe. Ummy Mwalimu akiwa na mmoja wa watoto waliofika kumsikiliza kwenye mkutano wake wa Kuihamasisha Jamii Kuachana na Ukeketaji kwa wakazi wa kijiji cha Sulubi,Wilayani Tarime.Mwenye Tisheti ya mistari nyuma ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime,Mhe.Amosi Sagara.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe. Ummy Mwalimu (wa pili kushoto) akingea na Mhe. Preira Silima Naibu Waziri Mambo ya Ndani, Mkuu wa Wilaya ya Tarime Mhe. John Henjewele na aliyesimama ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tarime Mhe.Amosi Sagara.
Mhe. Ummy Mwalimu akiongea na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Sulubi,Wilayani Tarime.
Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Watoto,Mhe. Ummy Mwalimu akiwa katika picha ya pamoja na Mzee wa mila , Kamshina Msaidizi Mwandamizi Adolpina Kyalo na baadhi ya akina mama wa kijiji cha Nyamwigura waliofika katika mkutano wa hadhara kumsikliza.
No comments:
Post a Comment