ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, December 11, 2012

PICHA ZINGINE ZA SHEREHE YA UHURU, OAKLAND, CALIFORNIA

Yassini Kapuya akiwa na kitabu chake alichozindua siku ya sherehe ya Uhuru iliyofanyika Jumamosi December 8, 2012 kwnye Jiji la Wajanja Oakland California
Mwenyekiti wa CCM DMV Loveness Mamuya (kulia) akipata picha ya pamoja na Missy Tameke (wapili toka kulia) na Watanzania wa California kwenye sherehe ya Uhuru wa Tanzania Bara kutimiza miaka 51 iliyofanykia California Ballroom, Oakland.
Missy Temeke akiwa na mmoja wa model wake katika picha ya pamoja.
Meza ya wadau wa DC
Deo Temba (kulia) akipata picha ya pamoja na mdau
Mdau katika pozi
Watanzania wakijumuika pamoja kwenye sherehe ya Uhuru wa miaka 51 kwenye Jiji la wajanja Oakland, California
Walter Minja katika picha ya pamoja na Lisa kutoka Finland.
kwa picha zaidi bofya read more
Wadau wa Vijimambo tunafuatilia picha za sherehe za Uhuru zilizofanyika Las Vegas, Chicago na Washington State tutawaletea mara tu tutakapozipata.


No comments: