ANGALIA LIVE NEWS

Monday, December 17, 2012

PITA PITA YA VIJIMAMBO SUNDAY KANISANI KWA MCHUNGAJI MAMA BUTIKU

 Mchungaji mama Butiku akiwa mazabahuni tayari kuwapa neno la Mungu waumini waliojitokeza kanisani kwake, Mama Butiku ni mchungaji tegemezi katika community ya watanzania waishio New York State upata mialiko mbali mbali kwa ajili ya sala na maombi katika community.
Watanzania mnaombwa kujitokeza kwa wingi kila jumapili na kupata neno la Mungu kutoka kwa mama mchungaji Butiku misa zote usomwa kwa kiswahili.
New Hope Lutheran Church
(60 Oliver Ave, Valley Stream, NY11580)
 Watanzania hupata nafasi ya kwenda kanisani kwake na kupata neno la Mungu kila Jumapili katika kanisa lake linalojulikana kwa jina la (New Hope Lutheran Church). 
 Watanzania na familia zao wakiwa kanisani hapo, 
 Dj Mao(kulia) na familia yake kama anavyoonekana akiwa kanisani 
 Mchungaji Butiku akitoa sakaramenti kwa mmoja ya waumini wake
 Dr Mariam(kushoto) katibu msaidizi wa community New York akiwa kanisani hapo 
Watanzania na familia zao wakiwa na nyuso sa smile baada ya kupata neno la mungu kutoka kwa mchungaji katika picha ya pamoja nnje ya kanisa Mchungaji

No comments: