ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, December 22, 2012

RODGERS EXPORTS LLC

Tunawatangazia watu wote kuwasili kwa mizigo katika bandari ya Dar-er-salaam kama mnavyoona katika picha. Mmiliki wa RODGERS EXPORTS LLC ukanda wa Zanzibar akishirikiana kikamilifu na wabebaji mizigo hiyo ilipowasili katika bandari ya DSM, ugawaji wa mizigo hiyo unaendelea leo hii jijini
Dar-er-salaam. 
Kwa watu wote ambao hawataweza kupata mizigo yao jumamosi, tunawaomba radhi kwa kuchelewa kwa mizigo hiyo na wajitayarishe kwa upokeaji wa mizigo hiyo mwishoni mwa wiki ijayo, tunawashukuru watu wote wanaoshirikiana nasi katika biashara yetu hii, vile vile bila ya kusahau.
Our next Container is sheduled to leave the USA to Tanzania on Jan-30-2013 for more information about pricing and Fed-Ex Services please contact Haji 919-672-6063 or go to our websiteWWW.RODGERSEXPOTS.COM

For people living in the following states: GA, OH, VA, DC, MD, PA, NJ, NY, DEL, WV pick up dates are January 13th-21st Call me and be ready for pick-up. Thank you for your business.

 Picha juu na chini, hii ni mizigo ya watu mbali mbali iliosafirishwa na RODGERS EXPORTS, kutokaUSA kwenda TANZANIA ikishushwa katika bandari ya Zanzibar na Dar-es-salaam,
 Picha juu na chini, hii ni mizigo ya watu mbali mbali iliosafirishwa na RODGERS EXPORTS, kutokaUSA kwenda TANZANIA ikishushwa katika bandari ya Zanzibar na Dar-es-salaam,

1 comment:

Anonymous said...

jamani sina nia mbaya, mbona ushushaji na ubebaji wenyewe wa kiholela huko bongo. gari limeshehena mpaka juu, kama kuna vya kuvunjika si vinavunjika. na vingine si vinaweza kudondoka. maboksi makubwa yamewekwa juu ya madogo. waelimisheni kuhusu suala hili