Bwana na Bi harusi wakisindikizwa na wapambe wao wakiingia kwenye hall la Casa lililopo Mikocheni kusherehekea harusi yao baada ya kufunga ndoa Diamond Jubelee (VIP) Hall
Said Matope, Bwana harusi akiwa na mpambe wake Mohammed Matope wakati wa chakula kwenye sherehe ya harusi yake na Fatuma (hayupo pichani) Casa Hall Mikocheni Dar Es Salaam, Tanzania
Fatuma Bi harusi akipakua chakula
Bwana harusi (kati) akiwa na ndugu na jamaa wakati walipokua nje ya ukumbi wa Diamond Jubelee
Bwana harusi na wapambe wake wakijadili jambo
Bi harusi na mpambe wake wakiwa na furaha
Mr Kibonde akiwa kazini
Maharusi na wapambe wao katika picha ya pamoja na ndugu, na jamaa wa karibu na familia
Wazazi wa bwana harusi katika picha ya pamoja
Bwana harusi akisikiliza jambo
No comments:
Post a Comment