TUNASIKITIKA KUTANGAZA MSIBA WA NDUGU YETU MZEE LAUVIOUS A. KALEMELAULIOTOKEA PHILADELPHIA, PA JANA USIKU DECEMBER 17, 2012
MSIBA HUKO NYUMBANI KWAKE
356 GREENWOOD ROAD
SHARON HILL, PA 19079
NDUGU ZANGU WATANZANIA, MSIBA HUU NI WETU SOTE. NDUGU, JAMAA, MARAFIKI NA WATANZANIA WOTE TUNAOMBWA TUUNGANE JUMAMOSI DECEMBER 22, 2012 SAA KUMI JIONI NYUMBANI KWA MAREHEMU KUKUSANYA MICHANGO YA KUWEZESHA KUSAFIRISHA MWILI WA MAREHEMU TANZANIA KWA MAZISHI
GHARAMA ZA KUMSAFIRISHA MAREHEMU NYUMBANI TANZANIA KWA MAZISHI NI $12,112
KWA WALE AMBAO HAWATAWEZA KUFIKA NYUMBANI KWA MAREHEMU, UNAWEZA KUTUMA RAMBIRAMBI YAKO KWENYE ACCOUNT HII
LAUVIOUS A. KALEMELA AND JULIET J. TIBENDA
PNC BANK
ROUTING # 031000053
ACCT# 8625597659
TAFADHALI FIKA NYUMBANI AMA PIGA SIMU KUWALIWAZA WAFIWA
MRS KALEMERA – 610-931-6881
JOY KALEMERA – 484-318-5050
JANETH KALEMERA – 267-261-5925
JESSICA KALEMERA – 610-809-5374
KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHALI PIGA SIMU:
MZEE KAMWANI – 302-740-3392
MAMA KAMWANI – 215-350-8516
ABBASI MWABUSHA – 914-584-7502
EDMUND IJUMBA – 313-282-4108
JOAN – 860-518-5950
VICTOR RWEHUMBIZA – 302-740-2844
LILIAN KAMWANI – 267-230-6163
RAHA YA MILELE UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE...MUNGU AIBARIKI NA KUILINDA FAMILIA YA MZEE KALEMELA, AWAPE FARAJA NA KUWATIA NGUVU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment