
Geradine katika pozi kwenye Hotel moja wapo alipotembelea San Francisco, California wakati walipoenda Jiji hilo kwenye sherehe ya Uhuru Jumamosi December 8, 2012 zilizofanyika California Ballroom, Oakland.

kutoka kushoto Missy T, Lisa (kutoka Finland) na Geradine katika picha ya pamoja walipokua San Francisco, California.

Lisa, Greadine na Missy Temeke wakipata Lunch ya usiku

Geradine, Lisa na Missy wakiwa Oakland, California walipokuwa Jumamosi December 8, 2012 kwenye sherehe ya Uhuru iliyofanyika kwenye Jiji hilo la wajanja na Missy Temeke akafanya Show ya mavazi yake ya KWETU Fashion Design

Geradine katika pozi

Missy T na Geradine katika ukodak moment,

Geradine akipata ukodak moment kwenye daraja maarufu la Sn Francisco

Geradine katika picha alipokua Oakland
No comments:
Post a Comment