
Usiku wa kuamkia January 24, 2013 maeneo ya DMV yamepata Snow ipatayo inchi 2 mpaka 3 na watabili wa hali ya hewa wamesema Ijumaa January 25, 2013 huenda eneo hili la DMV likapata snow nyingine na wametahadhalisha kwa watumiaji magari kuendesha kwa uangalifu kwa sababu ya halijoto itakua chini ya nyuzi 30 F itakayosababisha snow kuganda kwa haraka na kuleta utelezi. Snow ilianza usiku na itaendelea mpaka saa 3 asubuhi kulikopelekea baadhi ya shule kufungwa na zigine zitachelewa kuanza kwa madarasa kwa taarifa zaidi wakaazi wa DMV sikiliza Local News
No comments:
Post a Comment