ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, January 15, 2013

KWA MKONG'OTO HUU ATAPONA KWELI?


Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU) na askari kanzu wakimshushia mkong'oto mmoja wa wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM), jijini Dar es Salaam jana wakati walipofika kituo cha polisi Machava kilichopo Kigamboni, kuwalalamikia kwa kutolichukulia hatua genge la wahuni linalodaiwa kuwavamia baadhi yao usiku kwenye hosteli wanakoishi, kuwapora, kuwabaka na kuwalawiti.


2 comments:

Anonymous said...

This is VERY wrong!!!! Kwani hakuna taratibu hata kama huyo kijana ana makosa ya namna ya kumfikisha mahakamani sheria ikachua mkondo wake??? Jeshi letu limeoza kwa kweli.

Anonymous said...

Katika jina la yesu hao askari inabidi wafuatiliwe hiyo siyo haki wanayotenda kazi Yao ni kuleta amani siyo kuadhibu.