Advertisements

Wednesday, January 30, 2013

RAIS KIKWETE AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS KABILA IKULU, AMSINDIKIZA MGENI WAKE

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mgeni wake Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kabla ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii ya Januari 30. 2013
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsidikiza Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere baada ya kufanya naye mazungumzo Ikulu jijini Dar es salaam jioni hii ya Januari 30. 2013
(PICHA NA IKULU)

No comments: