ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, January 24, 2013

RAIS WA ZANZIBAR DK. MOHAMED SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI NCHINI TANZANIA, ALFONSO LENHARDT

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Alfonso Lenhardt, alipofika Ikulu Mjini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.
(Picha na Ramadhan Othman, Ikulu-Zanzibar)

No comments: