ANGALIA LIVE NEWS

Monday, January 14, 2013

SHEREHE ZA MAPINDUZI YA ZANZIBAR NEW YORK ZAFANA

Mr Modest Mero akiongea machache kwa niaba ya Mh. Balozi. Mr Mero alipata fulsa ya kumuakilisha Balozi katika sherehe  hizo za mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika Alomo Lounge Mt Vernon NY. Watanzania wa 5 boroughs za New York walijumuika kwa pamoja na kufanikisha sherehe hizo. 
Hajji Khamis mwenyekiti wa jumuiya ya Watanzania New York akiongea katika sherehe hizo za mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika January 12 New York.
Watanzania wakipata ukodak huku wakiwa wameshika bendera ya Tanzania usiku huo wa Mapinduzi ya Zanzibar, 
Hapa ni akina baba picha ya pamoja
Hapa akina mama wakipata ukodak wa pamoja, 
Wakipata chakula 
Mr Mero akiwaongoza Watanzania kupata chakula 
Mama Mwenye nyumba wa Mr Mero akipata chakula
Andy akifungua Ketchup 
Mr Temba nae akipata chakula
kwa picha zaidi bofya read more
Mr Taji na Abdul kutoka DC walikuwepo pia katika sherehe hizo wakiwa na Ny Ebra wakipata ukodak
Dj Bilal kushoto kati ni NY na Magawa akipata ukodak
Dr Mariam na Mr George wakipata ukodak
Dj Mao akiwa na Mdhamini wa pendo lake Bi Sophie wakipata ukodak
Lulu akipata ukodak na best wake
Mr Temba akiwa na mama mwenye nyumba wake
Mr Temba akimpongeza Mr Mero baada ya kuongea katika sherehe hizo.
Lulu akiwa na  mdogo wake James wote ni watoto wa Mr Mero
Mr Rasheed akiwa na mdhamini wa pendo lake wakipata ukodak
Mr and Mrs katika ukodak moment
Sister Lydia akipata ukodak na mdogo wake NY
Awa ni kutoka katika kisiwa cha Roosevelt Island, NY wakipata ukodak wa pamoja kwenye meza yao.
Kila mmoja akiwa na mdhamini wa pendo lake wakipata ukodak
Mr and Mrs katika pozi la malavidave
Mr Mero akipata ukodak na wadau
 Sister Asya Mwilima
Ny na Magawa wakipata ukodak
Palikuwa apatoshi
 Moto moto watu sana sakata rumba lililokuwa lina poromoshwa na ma Dj bora kabisa New York.
Music ukikolea kila mtu na mzuka wake
Dj Dave akiwa makini kazini kuakikisha anawapa burudani yenye ubora
 Dj Dave na Dj Mao wakiweka mambo sawa.
Rumba lime pamba moto kila mtu na style yake

No comments: