ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, January 23, 2013

SHUKURANI KWA WANAKAMATI NA WANAJUMUIYA- DMV


Uongozi wa wa Jumuiya ya watanzania DMV unapenda kuwashukuru wanakamati na wanajumuiya kwa ushirikiano wenu wa hali na mali kwenye shughuli nzima ya kumuaga balozi wetu. Uongozi umefurahishwa kwa ushirikiano wenu katika kufanikisha shughuli yetu. Tunawatakia heri na Baraka.
Uongozi,

Jumuiya Ya Watanzania DMV
www.watanzaniadmv.org

No comments: