"MTANZANIA UMEBARIKIWA" and the following.........MWAKA HUU MPYA, MTANZANIA UNAKUMBUSHWA KUWA UMEBARIKIWA NA MUNGU. KILA UNAPOIMBA WIMBO WA TAIFA, WEWE UNAIOMBEA AFRICA NA NCHI YAKO IZIDI KUWA NA UPENDO NA AMANI. MUNGU AMESIKIA SASA WEWE JITAYARISHE KUBARIKI,UWE NA MOYO WA SHUKRANI KWA YOTE ATAKAYOFANYA. MWAMINI, ATAKUSAIDIE KATIKA MAPITO YOTE, Dr Mordi
No comments:
Post a Comment