Advertisements

Friday, February 1, 2013

ALICHOKISEMA BARNABA JUU YA HESHIMA KWA MAMA ZETU


La moyon kiukweli sitaki wala sipendi ata sikumoja kusikia mtoto wa kiume anamuita binti au msichana au jinsia ya kike neno MALAYA sipend coz duniani akunaga malaya amini usiamini ! ata malaya nae anachaguo lake na uwa anamsikiliza akimwambia ich usifanye . so kaa ukijuwa kila malaya umuitaye malaya alifanya uwo umalaya kwasababu ya kitu au ni maisha yake ya apo nyuma au alishawai kuumizwa kwa namna moja au nyingine akaamua kuwa ivyo kwa mana amekata tamaa ya love ........ amini kuwa mwanamke yoyote dunian ni sawa na mama ako mzazi so kuwa na heshima kwnye jinsia ya kike ata kama umekutana na chiz ............1!11!From baranab boy classck...

No comments: