katika kipindi cha XXL Diamond Plutnumz Ameulizwa swali kama ana date na Penny ama la , Diamond kwa midomo yake amesema kuwa ha date na Penny bali ni drama tu ya Movie yao wanayo act..picha zote zinazozunguka mtandaoni wakiwa pamoja ni clips za movie.
No comments:
Post a Comment