Hapa inaonyesha alivyokua Kabla na alivyo sasa.
Ray alivyo sasa.
Kila mtu anajiuliza lake tokana na kupungua kwake uzito kwa gafla namna hiyo..Anaumwa,Anamaintain,au ana Stress pengine tokana na ile Movie yake (Sister Marry) ambayo imezuiliwa na kanisa katoliki..
Wewe kama Mdau unafikiliaje?
No comments:
Post a Comment