ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 24, 2013

KUNATATIZO KWANI - KINGKAPITA FT. GODZILLA official release



MAMBO VIPI??POLE NA KAZI NAOMBA MSAADA WAKO KATIKA KUSAMBAZA KAZI YANGU ONLINE

HIT MAKER KINGKAPITA TOKA TANZANIA TENA NA TENA KATIKA UJIO MPYA NYIMBO ALIOFANYA NA GODZILLA KUTOKA STUDIO YA DEFATALITY PALE KWA MESSEN SELEKTA 

NYIMBO INAITWA "KUNATATIZO KWANI"


IKIWA IMEBEBA LINE KALI ZA KUELIMISHA NA KUBURUDISHA JAMII KAMA :
"BABA JAMBAZI MAMA CHANGUDOA MTOTO KAZALIWA KONDA OTEA NINI KITAFATIIA//"
//HII BAHATI HAIZIMWI KWA MIDOMO FORM SIX ALIPATA ZIRO NA LEO NDO BOSS WAO//
                                   "KUNATATIZO KWANI"
HAPO NI KATIKA KUWAPA MOYO WOTE WALIOPATA MATATIZO KWENYE KUTAFUTA WAKA FAIL WASIKATE TAMAA NA MAISHA BADO YANAWEZEKANA PIA KUNA LINE KAMA
       //MI MKRISTO WEWE MWISLAM HAIJALISHI DINI GANI TUDUMISHE HII AMANI//
                                    "KUNATATIZO KWANI"
 HAPO NIKIWA NAELEZEA KUHUSU MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII TANZANIA BARA NA ZANZIBAR

KINGKAPITA ANANYIMBO HIT NYINGINE NYINGI KAMA:
1.MTOTO MLITO
2.MTOTO WA FISADI
3.SHIKAMOO PESA 
NA SASA NAOMBA MSIKILIZE 4. KUNATATIZO KWANI IKIWA KAMA MSEMO MPYA KATIKA JAMII ETI KUNATATIZO KWANI???

NAOMBA SUPPORT YENU NA COOMENT ZENU JUU YA HII  NYIMBO NA REQUEST NYINGI RADIO
HOLLAH KWA WANANGU NGINJA MASTER ,WAPOTEEN NA MTOTO WA VITOTO NA WOTE WANAOSUPPORT

KAZI NJEMA ASANTENI!!!!

LINK YA HULKSHARE HII HAPA http://www.hulkshare.com/n8iouqb6fbi8 KWA AJILI YA KUSIKILIZA NA KU DOWNLOAD

No comments: