ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, February 24, 2013

UMOJA INTERNATIONAL OUTRECH CHURCH YA DALLAS, TX YAPATA BASI

Pastor Absolom (wa pili kulia) akiwa na Kamati ya Uzinduzi wa basi; Kaka Jerry (wa kwanza kushoto) ambaye pia ali MC shughuli hiyo, Dada Viola, Kaka Vicent and Katibu wa Kanisa, Kaka Nicholus.

 Jerry akiwa kazini kama MC akielezea jambo
 Waumini wa kanisa hilo wakipata picha ubavuni mwa basi hilo

No comments: