![]() |
| Mv. Victoria ikipakia gari usiku huu hatimaye kuanza safari yake usiku huu. |
![]() |
| Nao wasafiri walipanda kama ada licha ya baadhi yao kuonekana kuwa na wasiwasi na wengine kuahirisha kabisa safari. |
![]() |
| Ndani ya meli abiria wakitathimini mazingira. |
![]() |
| Saa 3 na dakika 10 meli ya Mv. Victoria inaondoka Mwanza.... kuelekea Bukoba mkoani Kagera. Blogu hii yawatakia safari njema abiria wote. Picha kwa hisani ya http://gsengo.blogspot.com/ |





No comments:
Post a Comment