ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, February 7, 2013

TWASIRA MBALIMBALI KUTOKA BUNGENI DODOMA

 Baadhi ya Maofisa Habari  Mawasiliano wa Wizara za Serikali,  wakielekea katika Ukumbi wa Mkutano wa Bunge mjini Dodoma, leo. Maafisa hao  wamefanya ziara  Bungeni hapo ili kuona  shughuli za Bunge.
 Baadhi ya Maafisa Habari Mawasiliano Serikalini wakiongozwa na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (wa nne kutoka kushoto mstari wa mbele). Wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge leo kuangalia shughuli za Bunge mjini Dodoma.
 Baadhi ya Maafisa Habari Mawasiliano Serikalini wakiwa ndani ya ukumbi wa Bunge.
 Naibu Waziri, Ofisi ya  Waziri Mkuu (TAMISEMI) Aggrey Mwanri akiwakilisha hati mezani kuhusu Taarifa ya  Mwaka na Hesabu zilizokaguliwa na Mfuko wa Pensheni wa Serikali za Mitaa kwa Mwaka wa Fedha,2010/2011.
 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi  Pereira Silima  akiwasilisha azimio la Bunge la Kujiunga na Mkataba wa Kimataifa wa Kuzuia Vitendo vya Ugaidi wa Kutumia Nyuklia. Azimio hilo limeungwa mkono leo  katika  mkutano wa kumi kikao cha nane.
kwa picha zaidi bofya read more
 Waziri wa  Elimu na Mafunzo ya Ufundi Shukuru Kawambwa (kulia) akiongea  na James Mbatia (Kushoto)- katika viwanja vya Bunge leo. Baada ya   Spika Anne Makinda(hayupo pichani) kutangaza rasmi Mitala ya  Elimu inayotumika ni halali na ipo. (Pichani katikati) ni   Charles Mwijage (Muleba Kaskazini).
 Mwenyekiti wa Bunge Mussa Zungu Azzan akifafanua kanuni mbalimbali Bungeni leo.
Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni Freeman Mbowe(kushoto) akiongea na  Joshua Nassari(Arumeru Mashariki) ndani  ya ukumbi  wa Bunge. Picha  Mwanakombo Jumaa- MAELEZO.

No comments: