Thursday, February 21, 2013

MAKOCHA WA MCHEZO WA NGUMI WAHITIMU KOZI YA AWALI LEO

Meja Charles Mbuge wa pili kushoto akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya awari ya ukocha wa mchezo wa masumbwi,Charles Muhilu wakati wa kumalizika kwa kozi hiyo Dar es salaam  kushoto ni mjumbe wa BFT, Koba Kimanga na Rais wa shirikisho hili, Michael Changalawe.

Baadhi ya makocha wa mchezo wa masumbwi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimu mafunzo ya awali yaliyomalizika Dar es salaam. 
Meja Charles Mbuge akihojiwa na wana habari wakati wa kufunga mafunzo hayo.

Mmoja ya wakufunzi Kulwa Kindondi akiojiwa na wandishi wa habari.
kocha Charles Muhilu kushoto akihojiwa kuhusu kozi hiyo.
Mmoja ya wakufunzi Kulwa Kindondi kushoto akiwa na Patric Nyembela wa EATV picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments: