Watuhumiwa watano wakiwa katika Mahakama ya Hakimu wa Wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa wanatuhumiwa kwa kumnyofoa mkono wa mwanamke mlemavu (Maria Chambanenge (39) (hayupo pichani) na kutokomea nao na kumjeruhi vibaya kichwani kisha kuufukia porini kijijini Miangalua.
No comments:
Post a Comment