Afisa habari wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani, Mindi Kasiga akiongea machache kuwakaribisha wageni waliofika kwenye hafla iliyofanyika Ijumaa Feb 22, 2013 nyumbani kwake Germantown, Maryland, nchini Marekani kwa ajili ya kuwaaga Mwambata wa Jeshi wa kwanza wa Ubalozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada anayemaliza muda wake, Brigedia Jenerali Emmanuel Maganga na mkewe Love Maganga
Brigedia Jenerali Maganga na mkewe Love Maganga wakiingia huku wakipokelewa na mama Kasiga.
Mrs Love Maganga (kulia) akiongea na Neema Shariff
Brigedia Jenerali Maganga akiongea na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Bwn. Idd Sandaly
Wakati wa chakula
Brigedia Jenerali Maganga na mkewe wakiwa mezani wakiendelea na chakula
Mrs Love Maganga akiongea machache kutoa shukurani zake kwa Afisa habari wa Ubalozi, Mindi Kasiga kwa kuwaandalia hafla ya kuwaaga na kuwashukuru wageni waalikwa kwa mambo mazuri ya ushirikiano walionyesha kwao tangu siku ya kwanza walipofika hapa Marekani.
Brigedia Jenerali Maganga akiongea machache kumshukuru mwenyeji wake na kuwashukuru wageni waalikwa na kama kawaida ya BG huwavunja watu mbavu kwa maneno anayoongea
kwa picha zaidi bofya read more
Afisa Ubalozi, Abbas Missana katika picha ya pamoja na mkewe.
Afisa Ubalozi Dr. Mkama akiwa na Mkewe.
Kushoto ni mke wa Afisa Suleiman Saleh katika picha ya pamoja na Nyammy
No comments:
Post a Comment