TUNASIKITIKA
KUTANGAZA MSIBA WA NDUGU YETU JAMES RUTAHINDURWA ULIOTOKEA LAS VEGAS, NV USIKU FEBRUARY 18, 2013
MSIBA
HUKO NYUMBANI KWAKE
631
STONEHENGE WALK AVE
LAS
VEGAS, NV 89178
NDUGU
ZANGU WATANZANIA, MSIBA HUU NI WETU SOTE. NDUGU, JAMAA, MARAFIKI NA WATANZANIA
WOTE TUNAOMBWA TUUNGANE KWA MICHANGO YA KUWEZESHA MAZISHI YA MAREHEMU YATAKAYO
FANYIKA LAS VEGAS, NV TAREHE 1, MARCH.
KWA WALE AMBAO HAWATAWEZA KUFIKA
NYUMBANI KWA MAREHEMU, UNAWEZA KUTUMA RAMBIRAMBI YAKO KWENYE ACCOUNT HII
JOYCELENE RUTAHINDURWA
BANK OF AMERICA
ROUTING # 122400724
ACCT# 501006995346
KWA MAELEZO ZAIDI TAFADHALI PIGA
SIMU:
JOYCELENE
RUTAHINDURWA – 702-767-4416
LUCY
RUTAHINDURWA – 702-580-7542
RAHA YA MILELE
UMPE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMUANGAZIE...MUNGU AIBARIKI NA KUILINDA
FAMILIA YA NDUGU YETU JAMES RUTAHINDURWA, AWAPE FARAJA NA KUWATIA NGUVU KATIKA
KIPINDI HIKI KIGUMU BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE
No comments:
Post a Comment