Friday, February 22, 2013

Museveni afiwa na baba yake

Rais Yoweri Mseveni wa Uganda
Rais Yoweri Museveni wa Uganda amefiwa na baba yake mzazi Mzee Amos Kaguta, aliyefariki dunia leo asubuhi jijini Kampala katika hospitali ya International aliyokua amelazwa tangia wiki iliyopita

Mzee Kaguta alikua anasumbuliwa na maumivu ya tumbo yaliyopelekea kulazwa hospitalini hapo kwa matibabu. Mzee Amos Kaguta alikua na miaka 96 na anatarajiwa kuzikwa kesho.
Mzee Amos Kaguta Enzi ya Uhai wake

Hii ndiyo International Hospital alikokua amelazwa Mzee Amos Kaguta

No comments: