Wednesday, February 27, 2013

TAARIFA KUHUSU BEEF YA OMOTOLA NA GENEVIEVE NNAJ NA PICHA WALIZOONEKANA PAMOJA

Stori za kuaminika kutoka kwenye ardhi ya Nigeria ni kwamba beef iliyokuepo kati ya waigizaji mastaa wa Nigeria Omotola Jalade na Genevieve Nnaji imekwisha ambapo kuonyesha kwamba uhasama umefutika Genevieve alihudhuria suprise ya pili ya birthday ya Omotola Jalade kama inavyoonekana kwenye hizi picha.

Wengine waliohudhuria ni Bimbo Akintola, Monlisa Chinda, Guild of Nigeria president Ibinabo Fiberisima, Chidi Mokeme, pamoja na mwimbaji staa wa Nigeria Banky W, Sound Sultan na wengine.
Omotola na Genevieve Nnaji.
picha kwa hisani ya (millard ayo)

No comments: