maajabu haya wavuvi wavua samaki mwenye kichwa cha nguruwe, sasa basi ukienda kununua samaki na ukakuta kachinjwa au samaki huyo akawa na mafuta usije kushangaa. Ni bora uulize kichwa kipo wapi na kama kina fanana na samaki unaetaka kumnunua kwa wakati huo. Hii ni kwa wale maustadh ambao wanavaa kanzu mpya lakini ustadh wa zamani.
No comments:
Post a Comment