HIVI SERIKALI YETU INAFANYA NINI KUHUSU HILI SWALA? KWANN WASIOMBE MSAADA TOKA NJE? UNATAKA KUNIAMBIA HAWAONI ATHARI ZAKE? KWA KWELI I CANT WAIT FOR UCHAGUZI 2015....TUNAITAJI VIONGOZI WAPYA. NCHI IMEKUWA NA MISUKOSUKO KILA KUKICHA. NA KIONGOZI MUHISIKA YEYE NI KUTABASAMU TU, LKN SIMLAUMU SANA NAWALAUMU WATU WAKE WA KARIBU WANAOMPA INFORMATION, THEY ARE GIVING HIM FALSE HOPE. KWAMBA ANAFANYA VIZURI NA AENDELEE TU.
This mail is full of hate. Only begets can write and use this kind of language. Yes, I am a Muslim but Islam does not teach hatred and is against any kind of inhumane behavior.
P.S. I am open to debate any one using ayah and hadith to show that what they are doing is against Islamic teachings.
Mwenye akili haambiwi tizama,na mwenye elimu basi ni rahisi kufahamu. 1)Hivi kweli mtu gani atakaekubali kuwa hii karatasi imeandikwa na Uamsho.(2)Hivi kuna mtu atakae andika karatasi hii aseme ati mimi ndio niliefanya makosa haya?! mfano sisi wagogo ndio tuliowauwa Wahaya hivi kweli? jibu unalo wewe(3)Hii inaonesha hata chizi basi akisoma anajuwa kuna walakin hapa kwani ofisi ya Uamsho kwanza imefungiwa na serikali(4)Jawabu lipo hapa, jee ushawahi kupata ujumbe kuwa Mandela amekufa lakini muandikaji halisi wa habari hiyo hajulikani(5)Kwanini likitendeka Zanzibar inakuwa udini lakini bara inakuwa zogo au uvunjifu wa sheria tu au hatukumbuki wiki kadhaa tu Geita Wakristo wameanzisha fujo lakini wao hawatangaziwi kama ya Zanzibar jee hapa kuna nini jamani?
Bwana Mgogo. Ofisi ya uamsho kufungwa haina maana uamsho hawawezi fanya shughuli zao. Bwana mandevu aliwekewa dola mil 25 kwa atakaye toa habari zake ili akamatwe, lakini kila mara tulikuwa tukiona video zake. Uamsho wamewekewa kiasi gani? Hakuna tofauti na mauaji ya Zanzibar na yale ya Nigeria. La msingi ni kuwa hakuna haki ya mtu kumuua mtu mwingine au kuchoma sehemu ya ibada sababu ya imani yake au sababu yoyote. Wakristo wakishika mapanga pataikalika kweli?
9 comments:
HIVI SERIKALI YETU INAFANYA NINI KUHUSU HILI SWALA? KWANN WASIOMBE MSAADA TOKA NJE? UNATAKA KUNIAMBIA HAWAONI ATHARI ZAKE? KWA KWELI I CANT WAIT FOR UCHAGUZI 2015....TUNAITAJI VIONGOZI WAPYA. NCHI IMEKUWA NA MISUKOSUKO KILA KUKICHA. NA KIONGOZI MUHISIKA YEYE NI KUTABASAMU TU, LKN SIMLAUMU SANA NAWALAUMU WATU WAKE WA KARIBU WANAOMPA INFORMATION, THEY ARE GIVING HIM FALSE HOPE. KWAMBA ANAFANYA VIZURI NA AENDELEE TU.
This mail is full of hate. Only begets can write and use this kind of language. Yes, I am a Muslim but Islam does not teach hatred and is against any kind of inhumane behavior.
P.S. I am open to debate any one using ayah and hadith to show that what they are doing is against Islamic teachings.
lord have mercy....
Mwenye akili haambiwi tizama,na mwenye elimu basi ni rahisi kufahamu.
1)Hivi kweli mtu gani atakaekubali kuwa hii karatasi imeandikwa na Uamsho.(2)Hivi kuna mtu atakae andika karatasi hii aseme ati mimi ndio niliefanya makosa haya?! mfano sisi wagogo ndio tuliowauwa Wahaya hivi kweli? jibu unalo wewe(3)Hii inaonesha hata chizi basi akisoma anajuwa kuna walakin hapa kwani ofisi ya Uamsho kwanza imefungiwa na serikali(4)Jawabu lipo hapa, jee ushawahi kupata ujumbe kuwa Mandela amekufa lakini muandikaji halisi wa habari hiyo hajulikani(5)Kwanini likitendeka Zanzibar inakuwa udini lakini bara inakuwa zogo au uvunjifu wa sheria tu au hatukumbuki wiki kadhaa tu Geita Wakristo wameanzisha fujo lakini wao hawatangaziwi kama ya Zanzibar jee hapa kuna nini jamani?
Bwana Mgogo. Ofisi ya uamsho kufungwa haina maana uamsho hawawezi fanya shughuli zao. Bwana mandevu aliwekewa dola mil 25 kwa atakaye toa habari zake ili akamatwe, lakini kila mara tulikuwa tukiona video zake. Uamsho wamewekewa kiasi gani? Hakuna tofauti na mauaji ya Zanzibar na yale ya Nigeria. La msingi ni kuwa hakuna haki ya mtu kumuua mtu mwingine au kuchoma sehemu ya ibada sababu ya imani yake au sababu yoyote. Wakristo wakishika mapanga pataikalika kweli?
kuna udini na dini inayotawala tanzania ni ya vita vya msalaba kila kitu wao wanataka wapewe kipaumbele
BORA MSIKE HAYO MAPANGA KIELEWEKE,
BORA MSIKE HAYO MAPANGA KIELEWEKE,
SIKENI MAPANGA KIELEWEKE
Post a Comment