ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, February 27, 2013

WAZIRI MKUU AZINDUA MPANGO MKAKATI WA GS1 TANZANIA

Kaimu Mkurugenzi wa GS1 Tanzania, Fatma Kange akizungumza wakati wa kikao cha tatu cha wadau wa GS1 Tanzania katika Hotel ya Blue Pearl,Ubungo Plaza, leo Feb,27,2013. 
Baadhi ya wadau waliohudhuria kikao hicho cha GS1 Tanzania.
Makamu Mwenyekiti wa GS1 Tanzania,Yakub Hasham akizungumza na wadau  mbalimbali waliohudhuria kikao cha tatu cha washika dau na kikao cha pili cha mwaka cha GS1 Tanzania.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara,Joyce Mapunjo akifafanua jambo juu ya umuhimu wa Barcodes katika kuinua soko la bidhaa zetu.
Salum Awadh akiwasilisha  mpango mkakati wa GS1 Tanzania wa kipindi cha mwaka 2013-2018 kama Mtaalamu Mshauri ( Consultant) wa GS1 Tanzania.
Mwenyekiti wa Amsha Institute of Rural Entrepreneur ,Biubwa Ibrahim Malengo akizungumzia mafanikio ya kikundi chake kutoka Lindi Vijijini.
Waziri wa Viwanda na Biashara ,Abdallah Kigoda akimkaribisha Waziri Mkuu kufungua Kikao cha tatu cha washika dau katika Hotel ya Blue Pearl, Ubungo Plaza, leo ,Feb 27,2013

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia washika dau wa GS1 Tanzania leo.
kwa picha zaidi bofya read more


Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mpango mkakati wa GS1 Tanzania kwa miaka 5
Waziri Mkuu akionyesha kwa washika dau, mpango mkakati uliozinduliwa leo.

Waziri Mkuu akikata keki 


Wajumbe kutoka Zanzibar  wakifuatilia kwa makini yale yanayojiri kwenye kikao cha tatu cha washika dau na kikao cha pili cha mwaka katika cha GS1 Tanzania.

Mjasiriamali, Faith Temba wa kampuni ya FANO 2010 Co.LTD akipokea barcodes ya bidhaa zake,wafanyabiashara wa  asali wapatao 10 wamekabidhiwa barcodes zao leo wakati wa kikao cha tatu cha washika dau na kikao cha pili cha mwaka cha GS1 Tanzania.









No comments: