Advertisements

Wednesday, February 27, 2013

Waziri Muhongo atembelea Makao Makuu ya Kampuni ya BG


 Control room ya BG Group
 Makao makuu ya Kampuni ya BG
 Mh Waziri Profesa Muhongo akipokea maelezo kutoka kwa injinia wa BG Grou
 Mh Waziri akifuatilia ramani kutoka kwa msemaji wa kampuni ya BG
 Mh Waziri akitembelea makao makuu ya BG Group
 Picha ya pamoja
Presentation ikiendelea.
Mh waziri Muhongo akisalimia na CEO wa BG Chris.


Salam,

Urban Pulse Creative inakuletea picha ya ziara ya Mh waziri wa Nishati na Madini Profesa Muhongo alipotembelea makao makuu kampuni ya BG inayofanya kazi ya uchimbaji wa gesi na mafuta ili kuangalia ufanisi wake na namna gani inavyoweza kutufaa watanzania ikiwekeza nchini kwetu.

Asaneni,

Urban Pulse Creative

No comments: