ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, March 20, 2013

Agnes Gerald na Linah wakiwa Ambassador Lounge

Mwanamuziki wa kizazi kipya Linah (Top nyeupe) akiwa na Model anayecheza kwenye Video za Bongo Flava, Agnes Masogange (shoto) walipokua Ambassador Lounge siku madj Muli na Zero walipokua wakizungusha rekodi

No comments: