ANGALIA LIVE NEWS

Tuesday, March 19, 2013

Bob Juniour Aenda kusherekea Birthday yake leo pande za Finland

Na akaongeza kwa kutoa ujumbe kwa mashabiki wake wote alisema
"Huu ni mwaka ambao nitafanya kazi sana kwa project…
Mwanamuziki na kiongozi wa kundi la Masharabaro ambae kwasasa anafanya vizuri kwenye Bongo fleva mtu mzima Bob Juniour leo anasherekea siku yake ya kuzaliwa akiwa yupo Pande za Norway alizungumza haya na Teentz...
"Niko Norway naondoka na ndege ya mchana si unajua dingi anakaa Finland na nina ndugu zangu pale kati kwao party itafanyika kule na mazawadi kibao hukoo na watuu wengine nimewaalika so itakua Balaa we acha tu i cant wait.......
"Huu ni mwaka ambao nitafanya kazi sana kwa project zangu mimi mwenyewe na wengine 100% na wataliona hiloo nawaahidi then baada ya studio sasa nafungua production ya video sijui jina nitaliitaje but production itakua next level camera nazonunua ni High quality ya cinema film's hope tutazidi kupiga stapes na mengine waniombee tuu maisha marefu nakuzidi kuni support sijafika pale napopataka ila alhamdulillah , kidogooo nimeanza kuona mwaka thats it Love u All "

Alimaliza kwa kusema hayo

Happy Birthday Bob Juniour na Mtandao wa Teentz unakutakia maisha marefu na wotee wanaosherekea siku yao ya kuzaliwa leo......

1 comment:

Anonymous said...

mchizi ana miaka mingapi na ushauri wa bure bora akae na nywele zake nyeusi huwa anavutia zaidi kuliko hizi za kimanjano