ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, March 3, 2013

CHAMA CHA WAANDISHI WA HABARI MOROGORO WAPATA VIONGOZI WAPYA,TETESI UCHAGUZI ULITAWALIWA NA RUSHWA




Mwenyekti mpya wa MOROPC Idda Mushi ambaye ni mtangazaji wa l.TV na Radio One



Makamo mwenyekiti Nikson Mkilanya'Nikfado' Radio Free na Star Tv


 Katibu mkuu Mtendaji Abed Dogoli Abood Media
 
 Katibu mkuu msaidizi Ramadhani Hasani Libenanga'Kuty Fela' Gazeti la Majira

Mweka hazina mkuu Lilian Lucas gazeti la Mwananchi

Mhazini msaidi Peter Kimath gazeti la Jambo Leo
Nafasi tatu za ujumbe kamati tendaji Ashton Balaigwa'Bonge' Gazeti la Nipashe

Ujumbe kamati tendaji nafasi ya pili,Vaileth Mbwilo matangazaji Redio pamb Nafasi ya tatu ya ujumbe kamati tendaji ilinyakuliwa na Fadhiri Rashid ambaye pia ni Mtangazaji wa Redio pambazuka


Mgombe wa nafasi ya mwenyekiti ambaye kura hazikutosha akimpongeza mpinzani wake kwa kuibuka kidede


Mkuu wa Mkoa akimuhusia mwenyekiti mpya wa MOROPC Idda Mushi
Idda na Lili wakipongezana baada ya kuibuka kidedea

No comments: