Mwanamuziki wa kizazi kipya ambaye yupo juu kwenye gemu ya muziki huo akipagawisha wakazi wa Ukerewe alipokua wilayani humo Marchi 15, 2013 kwa makamuzi ya kufa mutu
Rama Mpauka na Moses Iyobo kutoka kundi la Wasafi katika picha ya pamoja
Umati wa watu walijitokeza kumsubiria President wa Wasafi ukumbini watu hadi kwenye Miti.
Diamond akiingia ukumbini
Wananchi wa Ukerewe nao wakimfuata
Mtu kibao Ukerewe Oyee
Juu na chini Wachafuuuu wakianza Ustarabu wao Stejini
Yanii Hivii Vile kama kawaida yao
Ulinzi ulihimarishwa na Jeshi La Polisi la Tanzania Ukumbini hapo
Huu ulikuwa umefika Muda wa Kulewa time wananchi wa ukelewe wliokuwepo ndani ya Ukumbi walishindana kulewa kwa style hiyo
Watu walikuwa busy na simu zao na Kupiga picha na kurekodi matukio Muhimu
Huku Show zikiendelea Ni Mambo ya Digital TU
'AMANI NA UPENDO NDIO LUGHA YA KWETU KIGOMA'
No comments:
Post a Comment