ANGALIA LIVE NEWS

Monday, March 18, 2013

Diva [Loveness Love] To Drop ''Jicho La Huba'' Hivi Karibuni...

Mtangazaji maarufu from Clouds FM, Diva Loveness Love is expecting kuachia ngoma yake ingine... JICHO LA HUBA!!!

Baada ya kuachia ''Mgonjwa Kwa Raha Zako'' ambayo alifanya na Blue a.k.a Bayser, Diva yuko mbioni kuachia track yake nyingine ''Jicho La Huba'' ambapo ndani ya track hiyo, Diva amemshirikisha Stereo, rapper ambae hivi karibuni amejoin kwenye UNITY ENT. ARMY pamoja na Didge kutoka Kenya. Didge ambae pia alitamba sana na track yake ya Saa Zingine.

Track hiyo inafanywa ndani ya studio ya FishCrab chini ya Producer Lamar. Diva aliweka caption, " Jicho La Huba in the making - Diva feat Didge..." kupitia kupitia ukurasa wake wa Instagram huku akitupia picha ya Lamar.

No comments: