Charles Kilenga Mtanzania mwenye makazi yake New York, Charles pia hujiusisha na ukimbiaji Marathon. Na ameishashiriki New York Marathon zaidi ya mara 3 na mbio zingine fupi zinazofanyika mara kwa mara ndani ya jiji hili la New York. Weekend hii Charles alipata nafasi ya kushiriki mbio fupi zilizoshirikisha wakimbiaji kutoka sehemu mbalimbali ya Marekani.
No comments:
Post a Comment