Advertisements

Wednesday, March 27, 2013

KAGERA SUGAR YAILAZA SIMBA KWA BAO 1-0

Kagera Sugar wamepata ushindi wa bao 1-0 Simba.
Karega Sugar.
Timu zikijiandaa.
Mtanange ukiendelea.
Bao limefungwa na Mchezaji Amandus Nesta mnapo dakika 46 ya kipindi cha pili.
Waandishi wa habari wakifanya mahojiano na kocha wa Simba.

No comments: