Advertisements

Tuesday, March 26, 2013

Kaya 3 zakosa makazi baada ya nyumba zao kuteketezwa kwa moto-Tarime.

Kundi la wananchi wenye hasira huko Tarime mkoani Mara limevamia nyumba tatu na kuziteketeza kwa moto pamoja na mashamba yao kwa madai ya kuwatafuta watuhumiwa wa ujambazi waliovamia kwa mfanyabiashara mmoja na kupora kisha kumuua mpita njia mmoja.

No comments: